TIVO operated as youths’ inclusive skills Coach since 2016 but was fully registered as an NGO in 2021. Inclusive skills include but not limited to oratory skills, health keeping skills, business skills, sports and games skills. We acknowledge our country’s efforts to enhance such skills, however, we remain aware that such efforts have never satisfied to curb the exclusion of marginalized people i.e. disabled who form 9% of Tanzanians, women and children who form more than 50% of Tanzanians, and the elderly population which is estimated to be 10% by the year 2050. Therefore, we admit that improving the aforementioned inclusive skills is our concern and thus resolve to form an organization, TANZANIA INCLUSIVE VISION ORGANISATION (TIVO), to promote inclusion.
TIVO imenijengea uwezo wa kuongea mbele za watu bila kuogopa wala kutetemeka, sasa ninajiamini na ninaimani nitafika mbali, ASANTE sana TIVO na muendelee na moyo huohuo, muwafikie wanafunzi wengi zaidi kama mimi.
Student
Public Speaking haikuwa kitu rahisi kwangu, nilikuwa muoga sana ila mafunzo yakujiamini niliyoyapata kutoka kwa TIVO yamenifanya sasa najiamini na ninauwezo wakuongeo kokote
Student
TIVO mnajitahidi sana kwenye shughuli zenu, mmekuwa mstari wa mbele sana katika kuwajengea uwezo wa kujiamini wanafunzi wetu, HONGERENI SANA KWA ILO.
Teacher